Karibu Sana

Tanzania TUWE Investors Acceleration PROGRAMME

Jiunge na Mpango Kabambe wa KUWAJENGA NA KUWAWEZESHA WAWEKEZAJI WA NDANI HASA WAWEKEZAJI WADOGO TANZANIA. Hapa Tunajifunza namna ya Kushiriki katika fursa za uwekezaji Mkubwa. Sisi ni Academy ya Wawekezaji Wanaoanza Kuwapa maarifa ya msingi, Uchambuzi, Taarifa za kina kuhusu mwenendo wa Masoko ya Hisa na Fursa za uwekezaji. Tunahamasisha Ujumuishi wa Kifedha na Tunawezesha ushiriki wa Watanzania kwenye Uwekezaji mkubwa.
Karibu Tujifunze. Karibu Tuwekeze!

Ingia / Login au Jiunge Nasi

Powered By